Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Dk.Ali Pourmarjan Mshauri wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Nairobi akitoa somo kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi kutoka Shule ya Sheria na Diplomasia kuhusu mada ya Wakimbizi na dhana ya kutafuta Hifadhi kwa mtazamo wa Kisheria. Mhadhara huo ulifanyika katika Ofisi za Baraza la Utamaduni katika Parklands Plaza Nairobi.
24 Aprili 2025 - 13:37
News ID: 1551915
Your Comment